Mkurugenzi mtendaji wa wilaya anawatangazia wananchi wote wa wilaya ya Biharamulo, kwamba wilaya ya Biharamulo ni kati ya wilaya za mkoa wa Kagera, zilizoruhusiwa na serikali kukusanya kodi ya majengo. Baada ya tathmini kukamilika kodi hiyo itaanza kutozwa.
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa