Mkurugenzi Mtendaji (W) Biharamulo anawatangazia wananchi wote kuwa Halmashauri ya wilaya ya BIharamulo inauza viwanja katika eneo la Nyakanazi. Viwanja hivi vimeshawekewa miundombinu ya barabara na vimetengewa huduma huduma za kijamii karibu kama vile stendi ya mabasi, soko, shule ya sekondari, huduma za ibada n.k viwanja_nyakanazi.pdf
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa