IDARA YA MAJI NA MAJUKUMU YAKE
Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji (W) katika masuala yote yanayohusu Maji
Uandaaji, upangaji na usimamizi wa utekelezaji wa mipango ya usambazaji huduma ya maji Wilayani
Kusimamia program ya maji na usafi wa mazingira katika Wilaya
Kusimamia na utekelezaji wa sera ya maji
Kuratibu shughuli zote zinazofanywa na taasisi zisizo za kiserikali kuhusu huduma ya maji
Kusimamia shughuli za uchunguzi,upimaji na uchoraji wa ramani za awali za miradi ya maji kadiri itakavyokuwa imependekezwa na kupangwa
Kuhusika na ukusanyaji wa takwimu mbalimbali za miradi kadiri ya mahitaji kwenye usanifu wa miradi mipya
KAIMU MKUU WA IDARA ENG.P.M.JEROME .NO, SIMU 0784373713
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa