• Malamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Biharamulo District Council Website
Biharamulo District Council Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Misingi
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

Mipango na Takwimu

IDARA YA MIPANGO TAKWIMU NA UFUATILIAJI NA MAJUKUMU YAKE.

Idara inamshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri juu ya masuala yahusuyo Mipango ya Maendeleo ya Kiuchumi na  Kijamii katika Halmashauri.
Kusimamia uaandaaji na utekelezaji wa mpango mkakati wa Halmashauri
Kutafsiri miongozo ihusuyo maendeleo kutoka ngazi za juu kwa lengo la utekelezaji katika ngazi za Halmashauri,Kata na Vijiji
Kuratibu shughuli za program mbalimbali zinazotekelezwa katika eneo la Halmashauri
Kuwasilisha Mipango ya Maendeleo ya Halmashauri kwenye vikao vya Kamati ya Fedha,Mipango na Uongozi na Baraza  kuu la Madiwani
Kudhibiti na kuanisha bajeti ya mwaka ya maendeleo na kutoa ushauri pale panapostahili
Kuwa Katibu wa kikao cha Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya(CMT)
Kuidhinisha Malipo yote ya miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na program mbalimbali za maendeleo
Kufanya utafiti wa maeneo ya uwekezaji
Kuandaa maandiko ya miradi mbalimbali ya maendeleo
Kuanda taarifa za utekelezaji wa Miradi ya maendeleo za kila robo mwaka, na kuingizwa katika mfumo wa CDR pamoja na mkeka wa taarifa hizo na kuzituma kwa wakati, Kuandaa taarifa za Ilani ya Uchaguzi


MKUU WA IDARA COSTANINO MSEMWA.NO, SIMU 0628977017.

Matangazo

  • UKUSANYAJI WA MAPATO YA HALMASHAURI YA WILAYA BIHARAMULO January 14, 2019
  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO CHA UALIMU May 07, 2018
  • TATHMINI YA MAAFA YA MVUA YA UPEPO ILIYONYESHA KATA ZA BIHARAMULO December 07, 2017
  • TAARIFA KWA UMMA. July 17, 2017
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2018 NA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018

    January 28, 2019
  • Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020

    January 22, 2019
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2018

    January 11, 2019
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2018

    January 11, 2019
  • Tazama zaidi

Video

Video Zaidi

Kuarasa za Haraka

  • Historia

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Tovuti ya Manispaa ya Bukoba
  • Tovuti ya wilaya ya Muleba
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Kuwasiliana nasi

    Mtaa wa Bomani

    Sanduku la Barua: S.L.P 70

    Telephone: 028 2223403

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa