Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango Mh. Leo Methew Rushahu
akishirikiana na wajumbe wa kamati hiyo, wakagua miradi ya maendeleo
kipindi cha robo ya pili Oktoba hadi Desemba 2021.
Wajumbe hao wamekagua miradi ya Vijiji vya Katoke, Runazi, Kabindi,
Lusahunga, Kikomakoma, Nemba, Nyakanazi, Rusenga, Rubondo na
Ngararambe katika kata za Nemba, Nyarubungo, Runazi, Kabindi,
Lusahunga, Kalenge na Nyakahura.
Miradi iliyokaguliwa na kamati hiyo ni pamoja na;-
Ukaguzi huo umefanyika tarehe 27.01.2021 hadi 28.01.202
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa