• Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Biharamulo District Council Website
Biharamulo District Council Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Misingi
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Divisheni
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Miundombinu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uasfi na Mazingira
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Furusa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba ya Vikao
    • Kamati za Kudumu
  • Miradi
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mapato na Matumizi Robo ya Tatu
    • Jarida la eGA Toleo 6 na 9
    • Bajeti ya Mwaka 2023-2024
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Mkutano wa Baraza la Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Ofisi

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI SEHEMU YA PILI YA MPANGO HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO

Posted on: January 3rd, 2024
  • UTANGULIZI
  • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ni Miongoni mwa Wilaya zinazotekeleza Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kati ya Halmashauri 7 na Manispaa 1 za Mkoa wa Kagera.Utekelezaji wa kipindi  cha pili Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo tulianza tarehe 29/06/2020 kwa kufanya uhakiki wa kaya za walengwa kwenye vijiji 50 vya Kipindi cha kwanza cha Mpango. Zoezi hili la uhakiki wa kaya za walengwa lilifanyika kuanzia tarehe 01/07/2020 hadi 03/07/2020 kutokana na maelekezo aliyoyatoa Februari 17, 2020 Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa kipindi cha Pili cha Mpango.Kwa lengo la Kupata orodha halisi ya kaya za walengwa wenye sifa/vigezo vinavyotakiwa katika mpango
  • PROGRAM ZA KIJAMII ;
  • Zinahusisha shughuli zifuatazo katika Mpango;
  • Uhawilishaji fedha -Ni utaratibu wa kutoa ruzuku kwa kaya zilizotambuliwa na kuandikishwa kwenye Mpango ili kujenga rasilimali watu kwa kuendeleza watoto kiafya na kielimu na kuwaandaa kwa maisha bora ya baadaye.Kuna aina mbili za ruzuku ambazo ni:
  • Ruzuku ya Msingi –Ruzuku hii inatolewa kwa kila kaya iliyoandikishwa kwenye  Mpago.
  • Ruzuku ya Masharti – Ruzuku hii inatolewa kwenye kaya yenye watoto chini ya miaka mitano (5) waliotimiza masharti ya afya na watoto wenye umri wa kwenda shule waliotimiza masharti ya elimu. Ruzuku kwa kaya zitatofautiana kulingana na uwepo wa wanakaya wanaotimiza masharti ya elimu na afya, uwepo wa walemavu, watoto chini ya miaka kumi na nane (18) kwa viwango viliyoaishwa kwenye jedwali 1 hapa chini.
Aina ya ruzuku
Ruzuku
Kiasi
Maelezo

Kiwango cha juu

Kiwango cha msingi
Ruzuku ya msingi yenye manufaa

12,000

Kuandikishwa kwenye Mpango

12,000

Kiwango cha msingi
Ruzuku ya kuwa na watoto

5,000

Chini ya miaka 18

5,000

Kiwango cha msingi
Watoto

5,000

Miaka 0-5 Afya

5,000

Inayobadilika
Shule ya Msingi(drs 1-4)

2,000

Shule ya awali

12,000

Inayobadilika
Shule ya Msingi (drs 5-7)

4,000

Shule ya Msingi
Inayobadilika
Shule ya Sekondari(fomu 1-4)

6,000

Shuleya Sekondari

16,000

Inayobadilika
Shule yaSekondari(fomu5-6)

8,000

Shule yaSekondari
Kiwango cha msingi
Wenye ulemavu

5,000

Wenye ulemavu

5,000

Kiwango cha chini cha ruzuku katika kaya

12,000

Kiwango cha juu cha ruzuku katika kaya

55,000

  • Miradi ya Kutoa Ajira ya Muda kwa walengwa - Itahusisha kuendeleza miundombinu mahsusi ya Afya, Elimu na Maji .Kaya itaandikisha watu wawili kwa ajili ya ajira za muda lakini ni mtu mmoja tu kati yao ndiye  atakayeruhusiwa kufanya kazi endapo mwakilishi wa kaya atashindwa kuhudhuria kazinii Ujira utakuwa shilingi 3,000  kwa  mtu  kwa siku muda wa kazi utakuwa saa 4 kwa siku kwa mtu. Kazi zitafanyika kipindi ambacho sio msimu wa kilimo na jira utalipwa kwa mwakilishi aliyeandikishwa kutoka kwenye kaya.
  • MIRADI YA KUKUZA UCHUMI WA KAYA: 
  • Utekelezaji utafanyika kwa  kaya zote zenye watu wenye uwezo wa kufanya kazi zitashiriki kutekeleza miradi ya kuongeza kipato
  • Shughuli za Msingi za Ukuzaji Uchumi wa Kaya: Shughuli zitafanyika kwa miaka miwili na zitafanyika kwenye kaya zenye nguvu kazi Shughuli kuu zitakuwa:Kuweka akiba na kuwekeza ,Kuunganishwa na huduma za kitaalamu ili kuzalisha kwa tija ,Shughuli za Mabadiliko kitabia .
  • Shughuli za Kuimarisha Ukuzaji Uchumi wa Kaya : Shughuli kuu zitakuwa: Uwekaji wa akiba wa kidijitali na kuunganishwa na huduma rasmi za fedha na kaya zitakazokidhi vigezo zitapewa ruzuku ya uzalishaji
  • KUIMARISHA  MIFUMO YA TAASISI :
  • Sehemu hii inasimamia mifumo ya taarifa za uendeshaji na kuimarisha uwajibikaji kwa kufanya shughuli zifuatazo:
  • Kuelimisha walengwa kuhusu TASAF na taratibu zake, wajibu na majukumu ya walengwa
  • Kujenga uelewa kwa jamii kuhusu TASAF kupitia maonesho, mikutano ya jamii, vyombo vya habari yakiwemo magazeti, radio, televisheni, mitandao ya kijamii, majarida, vipeperushi na mabango.
  • Kushughulikia malalamiko ya walengwa na jamii kuhusu utekelezaji wa shughuli za TASAF
  • Kujenga uwezo wa watumishi wa ugani na Kamati za Usimamizi za Jamii kwa kutoa mafunzo kuhusu usimamizi wa miradi, manunuzi, kulinda mazingira na makazi
  • UHAKIKI KWA KAYA ZA WALENGWA:

Uhakiki wakaya za walengwa umefanyika kwa awamu tatu kwa ukaguzi wa vitambulisho vya walengwa na mahojiano ya Mama/Mkuu wa kaya kwa lengo la kukusanya taarifa za wanakaya kwa njia ya dodoso fupi.  Shughuli hii ya kuhakiki ilifanyika kwa kushirikisha wataalam kutoka idara mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ambao walitumika kama wawezeshaji ngazi ya Halmashauri.Aidha katika kutekeleza zoezi hili jumla ya wawezeshaji 57 walitumika kufanya kazi hii ikiwa Me 42 na Ke 15, Watendaji wa vijiji 50, Wenyeviti wa Vijiji 50, Wajumbe wa Halmashauri za Vijiji 150.

  • MATOKEO YA ZOEZI LA UHAKIKI KWA KAYA ZA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI.

Uhakiki ulilenga kufikia kaya 6,873 kutoka kwenye vijiji 50 vya kipindi cha kwanza cha mpango hata hivyo uhakiki huu tuliweza kutumia mfumo wa  electroniki kwa awamu zote tatu .Tazama kwenye jedwali 2 Idadi ya kaya zilizohakikiwa.

NA
KIPINDI CHA UHAKIKI
IDADI YA KAYA LENGWA KUHAKIKIWA
IDADI YA KAYA ZILIZOHUDURIA UHAKIKI
IDADI YA KAYA AMBAZO HAZIKUHDURIA UHAKIKI
ASILIMIA YA UHAKIKI
1.
JULAI 2020

6,873

5,634

1,239

82%

2
DESEMBA 2020

1,819

1,702

117

93.5%

3
DESEMBA 2021

1,235

594

641

48.09%

  • FEDHA ZILIZOTUMIKA WAKATI WA ZOEZI LA UHAKIKI AWAMU ZOTE  KWA KAYA ZA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI.
  •  
  • Katika kutekeleza zoezi hili kiasi cha TSHS 47,501,000.00 kilitumika  wakati wa uhakiki wa kaya za walengwa kwa awamu zote tatu kama inavyonyesha katika jedwali 3 hapa chini
NA
KIPINDI CHA UHAKIKI
KIASI CHA FEDHA POKELEWA
KIASI CHA FEDHA TUMIKA
1
JULAI 2021

32,495,000.00

32,495,000.00

2
DESEMBA 2020

11,010,000.00

11,010,000.00

3
DESEMBA 2021

3,996,000.00

3,996,000.00

JUMLA KUU

47,501,000.00

47,501,000.00

  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA UTEKELEZAJI  WA SHUGHULI ZA  MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI
  • Halmashauri ya wilaya Biharamulo kuanzia Septemba 2020 hadi marchi 2022 tumepokea kiasi cha TSH 2,894,568,700.00 kwa ajili ya ruzuku ya kaya za walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na fedha za usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Mpango kwa mchanganuo ufuatao Katika jedwali 4 hapa chini
KIPINDI CHA MALIPO

FEDHA ZA WALENGWA ZILIZOPOKELEWA

FEDHA ZILIZOLIPWA KWA WALENGWA

FEDHA ZILIZOSALIA

FEDHA ZA USIMAMIZI NGAZI YA HALMASHAURI

MWAKA WA FEDHA 2020/2021
July-    August 2020

159,114,000

157,892,000

1,222,000

8,360,050

Sept-     Oct 2020

159,114,000

157,892,000

1,222,000

8,360,050

Nov -    Dec 2020

282,184,000

280168000

2016000

16,720,100

Jan-     Feb 2021

216,530,000

214776000

1754000

16610100

March  -   Apr 2021

216,112,000

213,887,000

2,225,000

16610100

May-   June 2021

-

-

-

-

JUMLA NDOGO

1,033,054,000

1,024,615,000

8,439,000

66,660,400

MWAKA WA FEDHA 2021/2022
May-   June 2021

218,080,000

216,418,000

1,662,000

16610100

July-    August 2021

210,106,000

208,638,000

1,468,000

16610100

Sept-     Oct 2021

461,902,000

454,500,000

7,402,000

3190000

Nov -    Dec 2021

420,584,000

396,676,000

23,908,000

19,910,100

Jan-     Feb 2022

427,862,000

404,212,000

23,650,000

00.00

JUMLA NDOGO

1,738,534,000

1,680,444,000

58,090,000

56,320,300

 

  • UZINDUZI WA UTAMBUZI NA UANDIKISHAJI WA KAYA ZA WALENGWA VIJIJI VIPYA

Uzinduzi wa Kipindi cha pili cha TASAF awamu ya tatu ulifanyika tarehe 10.08.2021katika Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo kwenye ukumbi wwa ofisi ya mkuu wa wilaya. kwa kuwajumuisha wajumbe kutoka ngazi mbalimbali za ki-utekelezaji kama mheshimiwa mbunge, Mkuu wa Wilaya, Waheshimiwa Madiwani, Mwenyekiti wa Halmashauri, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Wakuu wa Idara na Vitengo, kamati ya Ulinzi na Usalama, na waandishi wa habari ,maafisa ugavi ,wawezeshaji  watekelezaji wa Mpango. jedwali 5 washiriki wa kikao kazi cha zoezi la utambuzi na uandikishaji kaya za walengwa

  • Na
  • Walengwa
  • Washiriki
  • Me
  • Ke
  • Jumla

1

Mbunge
  • 1
  • -
  • 1

2

Kaimu  mkuu wa wilaya
  • 1
  • -
  • 1

3

Kamati ya ulinzi na usalama
  • 3
  • 3
  • 6

4

  • Mkurugenzi  mtendaji wilaya
  • 1
  • -
  • 1
  • 5
  • Wah. madiwani
  • 17
  • 6
  • 23

6

  • Wakuu wa idara na vitengo
  • 14
  • 5
  • 19

7

  • Wawezeshaji
  • 23
  • 5
  • 28

8

  • Waandishi wa habari
  • 2
  • -
  • 2

9

  • Mratibu na mhasibu
  • 2
  • -
  • 2

10

Afisa ugavi

1

-

1

11

Wawakilishi kutoka Tasaf

3

1

4


  • Jumla

68

  • 20
  • 88
  • MAFUNZO  YA UTAMBUZI NA UANDIKISHAJI WA KAYA ZA WALENGWA SEHEMU YA PILI KWA WAWEZESHAJI NGAZI YA WILAYA

Utekelezaji wa Mpango ulianza rasmi kwa kutoa mafunzo kwa wawezeshaji 28 ngazi ya Wilaya kwa muda wa siku 5 kuanzia tarehe 11-08 .2021 hadi 15.08.2021.

  • MKUTANO YA VIJIJI YA UTAMBUZI NA UANDIKISHAJI WA KAYA ZA WALENGWA SEHEMU YA PILI

Katika mikutano iliyofanyika kila kijiji walibainiwa Walengwa kwa kufuata vigezo vilivyowekwa na Mikutano mikuu ya vijiji kwa kutumia Wakusanya taarifa kwa kuorodhesha majina yote kwa kila kitongoji kwenye kijiji husika na baada ya hapo orodha ya kaya  zilihakikiwa na Halmashauri ya Kijiji na kisha kusomwa kwenye Mkutano Mkuu kwa uhakiki zaidi ili kubaini waliosahulika na waliowekwa kimakosa kuondolewa  kwa kuhakiki kaya zote zenye vigezo kupitia mkutano.

UTAMBUZI WA KAYA ZA WALENGWA 

Utambuzi na uandikishaji ulianza tarehe 16.08.2021 na kumalizika tarehe 3.09.2021 katika vijiji 26 na vitongoji 3 vya kata ya Bihramulo mjini. Jumla ya Kaya 7,249 zilitambuliwa katika fomu ya awali -TF3 kupitia mkutano mkuu wa kijiji kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa na wananchi kwenye mkutano mkuu ya kila kijiji kulingana na hali ya umaskini wa kila kijiji husika. Baadhi ya vigezo vilivyotumika kutambua kaya maskini ni pamoja na; Kaya zenye hali duni sana ya maisha ikilinganishwa na kaya nyingine katika jamii husika ndizo zilizotambuliwa na kuingizwa kwenye orodha ya awali na baadae kuhakikiwa kama zina hali duni kupitia mkutano wa kijiji.Jamii iliongozwa na viongozi wa kijiji na wawezeshaji kuweka vigezo vilivyotumika katika zoezi la kutambua kaya zenye hali duni sana. miongoni mwa vigezo vilivyotumika ni kaya:

Kuwa na kipato kidogo kisicho na uhakika na hivyo kushindwa kupata milo mitatu kwa siku; (mlo wa asubuhi, mchana na jioni) na kuwa na makazi duni

 Kushindwa kumudu gharama za masomo kwa watoto wanaosoma ikiwemo sare, vitabu, madaftari, kalamu nk;

Kushindwa kumudu gharama za matibabu

 Kuwa na watoto wengi ambao hawapati huduma na mahitaji muhimu kama vile mavazi au kupelekwa kliniki.

UANDIKISHAJI WA KAYA ZA WALENGWA 

Wawezeshaji na wasaidizi walitatembelea kila kaya kwenye kijiji kwa ajili ya kuchukua na kuingiza taarifa sahihi za kaya zilizopatikana baada ya utambuzi wa kaya za walengwa na kuziingiza kwenye madodoso ya kieletroniki.

Taarifa zilizokusanywa zilitumwa kwenye mfumo wa kompyuta ambao ulichakata na kutoa orodha ya kaya zinazostahili na zile ambazo hazistahili kuingia katika Mpango .Orodha ya mwisho ya kaya za walengwa (TF4) ndiyo iliyotumika kuandikisha kaya kwenye Mpango kama inavyoaishwa kwenye jedwali 6 hapa chini.

NA
JINA LA KATA
NA
JINA LA KIJIJI
IDADI YA KAYA TF 3
IDADI YA KAYA TF 4

IDADI YA KAYA ZILISALIA TF 5

KAYA DODOSWA

1

NYABUSOZI
1.
ISAMBARA

200

188

9

179

2

KABINDI
2.
KIKOMAKOMA

272

263

3

260

3.
KABINDI

109

102

2

100

3

KATAHOKA
4.
NYAMATONGO

266

262

4

258

5.
KISUMA

274

284

11

273

4

NYARUBUNGO
6.
KALEBEZO

210

160

5

155

7.
KABUKOME

269

265

5

260

8.
RUKILILWENGOMA

285

247

9

238

5

BIHARAMULO MJINI
9
RUKARAGATA

59

111

3

108

10
NG’AMBO

280

268

30

238

11
BIHARAMULO MJINI

137

108

1

107

6

RUZIBA
12
KITWECHEMBOGO

202

190

3

187

13
RUZIBA

136

190

3

187

7

BISIBO
14
KIRURUMA

458

472

0

472

8

NYAMAHANGA
15
NYAMAHANGA

94

93

2

91

16
NTUNGAMO

356

366

7

359

9

NYANTAKARA
17
NYAKAYENZE

211

211

5

206

18
MUGERA

210

166

3

163

10

NEMBA
19
NEMBA

366

366

12

354

20
KISENGA

160

153

1

152

11

KANIHA
21
MAVOTA

454

424

0

424

12

KALENGE
22
RUSENGA

178

169

5

165


23
NYAMIGERE

274

249

8

241

13

NYAKAHURA
24
MIHONGORA

168

123

1

122


25
MABALE

173

141

4

139

14

NYANZA
26
NTUMAGU

275

284

45

239

15


27
KIKOMA

485

451

65

386

LUSAHUNGA
28
NYAKANAZI

702

700

52

648

29
NYAMBALE

241

243

0

243

TOTAL

7,504

7,249

298

6,954

GHARAMA ZA UTEKELEZAJI WA ZOEZI LA UTAMBUZI NA UANDIKISHAJI WA KAYA ZA WALENGWA SEHEMU YA PILI MPANGO.

NA.
Aina ya kazi
Kiasi cha fedha iliyo pokelewa
Fedha iliyo tumika
Fedha iliyo baki
1
Kufanyakikao kazi cha utambuzi  na uandikishaji wa kaya

26,934,000.00

24,494,000.00

2,440,000.00

2
Kufanya utambuzi  na uandikishaji wa kaya

28,325,000.00

28,325,000.00

00.00

Jumla kuu

55,259,000.00

52,819,000.00

2,440,000.00

  •  
  • MATOKEO YA ZOEZI LA UTAMBUZI WA KAYA ZA WALENGWA
  • Baada ya zoezi la undikishaji kukamilika halmashauri ya wilaya ya Biharamulo ilitumiwa matokeo ya undikishaji kutoka TASAF makao makuu kama inavyoonyesha kwenye jedwali hapa chini
WILAYA
KATA
NA
KIJIJI/ KITONGOJI
KAYA ZILIZOPITISHWA
KAYA AMBAZO  HAZIKUPITA

JUMLA YA KAYA KWENYE KIJIJI

Biharamulo
Biharamulo Mjin
1
Biharamulo Mjini

48

59

107

Biharamulo
Biharamulo Mjin
2
Ng'ambo

138

95

233

Biharamulo
Biharamulo Mjin
3
Rukaragata

68

40

108

Biharamulo
Bisibo
4
Kiruruma

292

118

410

Biharamulo
Kabindi
5
Kabindi

63

37

100

Biharamulo
Kabindi
6
Kikomakoma

142

112

254

Biharamulo
Kalenge
7
Nyamigere

170

73

243

Biharamulo
Kalenge
8
Rusenga

117

33

150

Biharamulo
Kaniha
9
Mavota

332

63

395

Biharamulo
Katahoka
10
Kisuma

196

52

248

Biharamulo
Katahoka
11
Nyamatongo

195

65

260

Biharamulo
Lusahunga
12
Kikoma

208

149

357

Biharamulo
Lusahunga
13
Nyakanazi

428

204

632

Biharamulo
Lusahunga
14
Nyambale

176

64

240

Biharamulo
Nemba
15
Kisenga

105

44

149

Biharamulo
Nemba
16
Nemba

258

69

327

Biharamulo
Nyabusozi
17
Isambara

122

56

178

Biharamulo
Nyakahura
18
Mabare

91

42

133

Biharamulo
Nyakahura
19
Mihongora

73

48

121

Biharamulo
Nyamahanga
20
Ntungamo

240

96

336

Biharamulo
Nyamahanga
21
Nyamahanga

55

37

92

Biharamulo
Nyantakara
22
Mgela

114

43

157

Biharamulo
Nyantakara
23
Nyakayenze

155

51

206

Biharamulo
Nyanza
24
Ntumagu

146

94

240

Biharamulo
Nyarubungo
25
Kabukome

197

61

258

Biharamulo
Nyarubungo
26
Kalebezo

81

74

155

Biharamulo
Nyarubungo
27
Rukililwengoma

173

64

237

Biharamulo
Ruziba
28
Kitwechembogo

120

66

186

Biharamulo
Ruziba
29
Ruziba

83

102

185

JUMLA KUU

4,586

2,111

6,697

  •  MATOKEO YA RUFAA KAYA ZA WALENGWA  VIJIJI VIPYA AWAMU YA KWANZA

Pia baada ya matokeo kutolewa na TASAF makao makuu walitoa nafasi kwa kaya za walengwa ambazo  hazikupitishwa kukata rufaa kama inavyoonyesha kwenye jedwali hapa chini.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA August 30, 2024
  • TANGAZO LA KUSHIRIKI UCHACUZI WA SERIKALI ZA MITAA November 23, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHAJI VIFAA BAYOMETRIKI July 18, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Ramadhani Kailima amewataka Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Tanzania bara kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

    June 16, 2024
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI SEHEMU YA PILI YA MPANGO HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO

    January 03, 2024
  • Waajiriwa wapya Division ya Afya na Elimu Juni, 2023

    June 07, 2023
  • MKUU WA MKOA WA KAGERA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI BIHARAMULO

    November 30, 2022
  • Tazama zaidi

Video

MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2022 WILAYANI BIHARAMULO
Video Zaidi

Kuarasa za Haraka

  • Historia

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Tovuti ya Manispaa ya Bukoba
  • Tovuti ya wilaya ya Muleba
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Kuwasiliana nasi

    Mtaa wa Bomani

    Sanduku la Barua: S.L.P 70

    Telephone: 028 2223403

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa


WILAYA

KATA

KIJIJI/ KITONGOJI

KAYA ZILIZOPITISHWA

KAYA AMBAZO  HAZIKUPITA

Biharamulo
Biharamulo Mjin
Biharamulo Mjin

59

48

Biharamulo
Biharamulo Mjin
Ng'ambo

163

70

Biharamulo
Biharamulo Mjin
Rukaragata

106

2

Biharamulo
Bisibo
Kiruruma

383

27

Biharamulo
Kabindi
Kabindi

91

9

Biharamulo
Kabindi
Kikomakoma