• Malamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Biharamulo District Council Website
Biharamulo District Council Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Misingi
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

TANGAZO LA NAFASI WAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA

10 July 2019

HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO

Wananchi Wote,

HALMASHAURI YA WILAYA.

BIHARAMULO.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo anawatangazia wanachi kujaza nafasi wazi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo kutuma maombi yao.

SIFA ZA MWOMBAJI:-

  1. Awe mkazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
  2. Awe na uelewa mpana wa masuala ya utawala, utumishi au sheria.
  3. Awe na umri wa miaka isiyopungua ishirini na moja (21).

KAZI ZA MWENYEKITI WA BODI:-

Ataitisha na kuendesha vikao vya kila robo ya mwaka na vya dharura vya Bodi ya Ajira ya Halmashuri ambavyo hushughulikia masuala ya Ajira. Upandishaji vyeo, ubadilishaji muundo na uthibitishwaji kazini watumishi.

KIPINDI CHA KUDUMU OFISINI.

Uenyekiti wa Bodi ya Ajira si kazi ya ajira yenye mshahara na inadumu kwa muda wa miaka mitano sawa na ujumbe wa Baraza la Madiwani.
Endapo kipindi cha Mamlaka ya Halmashauri kitaisha kabla ya kipindi cha miaka mitano ya Uenyekiti wa Bodi ya Ajira, ikimalizika Uenyekiti huu utasimama hadi Mamlaka ya Halmashauri itakaporejea tena.

MASLAHI YA UENYEKITI.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira halipwi mshahara isipokuwa wakati wa kuendesha vikao atalipwa nauli na posho ya kikao kwa viwango vya Serikali vilivyopo.

MUDA WA MAOMBI.

Kwa yoyote mzalendo na mwenye sifa zilizotajwa hapo juu mwenye nia ya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo atume maombi yake kwa njia ya posta akielekeza kwa :-

Mkurugenzi Mtendaji (W),
S.L.P 70,
BIHARAMULO.


Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe  22/07/2019  Saa 9:30 alasiri



Wende I. Ng’ahala
   MKURUGENZI MTENDAJI (W)
BIHARAMULO

Matangazo

  • UUZAJI WA VIWANJA KATIKA MAENEO YA NYAKANAZI November 13, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2019
  • UKUSANYAJI WA MAPATO YA HALMASHAURI YA WILAYA BIHARAMULO January 14, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI WAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA July 10, 2019
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    January 30, 2021
  • Waziri wa Tawala za Mikoa na Serilikali za Mitaa TAMISEMI

    January 07, 2021
  • UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO

    June 10, 2020
  • Biharamulo na Mitihani ya kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2019.

    September 10, 2019
  • Tazama zaidi

Video

UZINDUZI WA HIFADHI YA TAIFA BURIGI
Video Zaidi

Kuarasa za Haraka

  • Historia

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Tovuti ya Manispaa ya Bukoba
  • Tovuti ya wilaya ya Muleba
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Kuwasiliana nasi

    Mtaa wa Bomani

    Sanduku la Barua: S.L.P 70

    Telephone: 028 2223403

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa