IDARA YA MAZINGIRA NA UDHIBITI TAKA NGUMU NA MAJUKUMU YAKE
Kusimamia utekelezaji wa sheria ya mazingira katika Halmashauri ya Wilaya
Kushauri kamati ya mazingira kuhusu masuala yote ya hifadhi ya mazingira
Kuelimisha jamii kuhusu kutunza mazingira na kuhifadhi maliasili
Kuaandaa taarifa ya tathimini ya athari ya mazingira na shughuli yoyote katika Halmashauri ya Wilaya
Kusimamia utekelezaji wa sheria ndogo kuhusu mazingira
Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji Kuhusu masuala yote ya usafi na udhibiti taka ngumu
Kuhakikisha masuala yote ya usafi Wilayni yanatekelezwa.
Kusimamia suala zima la taka ngumu, utunzaji ukusanyaji na utupaji.
MKUU WA IDARA MICHAEL MKUTI .NO, SIMU 0752931183
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa