Kitengo cha sheria na usalama
Majukumu
Kumshauri Mkurugenzi na wakuu wa idara katika masuala yote ya kisheria katika Halmashauri
*Kusimamia utekelezaji wa sheria za nchi
*Kuandaa, kutunza na kusimamia utekelezaji wa mikataba ya Manispaa
*Kuiwakilisha Halmshauri katika mashauri yote Mahakamani
*Kuratibu shughuli za usalama na ulinzi wa umma
*Kusimamia na kuratibu mabaraza ya kata
*Kuandaa na kusimamia rasimu za Sheria ndogo za Halmashauri
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa