IDARA YA FEDHA NA MAJUKUMU YAKE
Kuandaa makisio ya mapato na matumizi ya kila mwaka kwa kushirikiana na wakuu wa Idara
Kuandaa taarifa za fedha za kila mwezi na robo na kuziwasilisha kwenye mamlaka mbalimbali kadri itakavyoelekezwa
Kuidhinisha hati za malipo kwenye mfumo wa epicor
Kushauri masuala ya Fedha katika Halmashauri ya Wilaya
Kutunza na kuhifadhi kumbukumbu zote zinazohusu raslimali fedha
Kuhakikisha kuwa kuna mfumo mzuri wa udhibiti wa raslimali fedha
Kuhakikisha kuwa hesabu za mwaka zinafungwa kwa muda na kuziwasilisha kwa mkaguzi
Kuandaa Bajeti ya Halmashauri na kuiwasilisha kwenye vikao vya Wakuu wa Idara, Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi na Baraza la Halmashauri.
MKUU WA IDARA KULWA KASUKA NO; SIMU 0767356727
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa