DIRA
Dira ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ‘’Kuwa na uchumi imara na endelevu,Jamii iliyoelimika,yenye maisha bora na inayowajibika kwa maendeleo yake ifikapo mwaka 2020’’
DHIMA
’Mwelekeo wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo kushirikisha jamii na wadau wote katika utoaji huduma bora na endelevu za kijamii na kiuchumi kutumia kikamilifu fursa zilizopo na kuzingatia matumizi endelevu ya raslimali zetu misingi ya sheria na utawala bora
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa