KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI NA MAJUKUMU YAKE
Kitengo kinatoa huduma za uhakika na kwa uhuru wa kutekeleza majukumu yake ili kuiwezesha Halmashauri ya Wilaya kuongeza thamani/ufanisi katika huduma zinazotolewa na watendaji wake,pia kinasaidia Halmashauri ya Wilaya kufikia malengo yake kwa kufuata taratibu na kutathmini hatua za kupunguza vihatarishi ili kuimarisha udhibiti wa ndani na utawala bora.
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kinatoa huduma za ushauri katika Halmashauri ambazo zinasaidia kuimarisha udhibiti wa Ndani na kupunguza vihatarishi ambapo ushauri huo unalenga na kuzingatia malengo ya Uklaguzi wa Ndani na majukumu yake kwa uhuru zaidi.Haya yote yatafanikiwa kwa kuzingatia Dira na Dhima ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo.
MKUU WA KITENGO FELIX, AILA OGEDJO.NO, SIMU 0784374600
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa