IDARA YA ARDHI NA MALIASILI NA MAJUKUMU YAKE
Kusimamia utekelezaji wa sera na sheria za ardhi, Hifadhi za Maliasili na Mazingira
Kuandaa makikisio ya shughuli za kawaida na maendeleo ya Idara ya Ardhi, Maliasili na Mazingira
Kusimamia shughuli zote za maendeleo katika idara
Inaandaa taarifa ya shughuli zote ambazo zinafanywa na idara ya Ardhi, Maliasili na Mazingira
Idara inato elimu kwa jamii kuhusu kumiliki ardhi, matumizi endelevu ya maliasili na Mazingira.
Kutayarisha mipango ya matumizi bora ya ardhi mjini na vijijini kwa ajili ya kulinda rasilimali za ardhi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Kutayarisha michoro ya mipango miji, kuongeza na kudhibiti uendeshaji holela wa ardhi
Kushirikisha jamii kutayarisha mipango ya matumizi ya ardhi, kuwasilisha michoro ya mipango miji katika vikao vya Halmashauri ya Wilaya
Kusimamia sera ya makazi na sheria ya mipango miji
Kutoa elimu ya sheria ya mipango miji kwa umma
Kudhibiti ujenzi holela mjini
KAIMU MKUU WA IDARA NOVATUS KAINDOA .NO, SIMU 0756357854
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa