Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Ramadhani Kailima amewataka Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Tanzania bara kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya Kwanza zoezi linalotarajiwa kuanza Julai 1, 2024
Kauli hiyo imetolewa Juni 15, 2024 wakati wa Mkutano wa Tume na Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
"Ndugu Maafisa Habari, uboreshaji huu unahusu kila mwananchi mwenye sifa, Tumieni njia mbalimbali kuelimisha jamii umuhimu wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga awamu ya kwanza" Ndugu Ramadhani Kailima.
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa