KITENGO CHA UGAVI NA MAJUKUMU YAKE
Kitengo kinashauri masuala ya manunuzi na ugavi
Kinaratibu manunuzi yote pamoja na uandaaji wa nyaraka zote za zabuni, matangazo ya zabuni, nukuu za bei za kazi na matengenezo/ujenzi/ukarabati wa barabara na majengo, pamoja na bidhaa na huduma zote za Halmashauri
Kuratibu mpango wa manunuzi wa mwaka wa Halmashauri (Council procurement Plan)
Kuratibu uuzaji wa mali chakavu za Halmashauri kwa kufuata sheria na kanuni za manunuzi
Kusimamia utekelezaji wa maagizo ya Bodi ya Zabuni
KAIMU MKUU WA KITENGO HERMAN NGANDA .NO, SIMU 0786520277
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa