IDARA YA UJENZI NA MAJUKUMU YAKE
Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji kuhusu masuala ya ujenzi
Kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za majengo na kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji
Kusimamia utekelezaji wa miradi ya ujenzi na matengenezo ya majengo
Kutayarisha taratibu za manunuzi na kuandaa mikataba kwa ajili ya usanifu, ukarabati na kuinua viwango vya ujenzi wa majengo
Kutayarisha mipango ya mwaka pamoja na bajeti ya ujenzi na ukarabati wa majengo
Kutathimini utekelezaji wa sera na sheria za kujenga na kukarabati majengo
Kufanya uchambuzi wa kina wa taarifa za takwimu za kujenga na kukarabati majengo
Kubuni ,kusimamia na kuratibu utekelezaji kwenye sekta ya majengo
KAIMU MKUU WA IDARA RICHARD MAGEGE .NO, SIMU 0764094251
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa