Kuanzia kipindi cha 2010/2011 Halmashauri ya Wilaya imeweza kusimamia kikamilifu makusanyo ya mapato yake kama ilivyoainishwa katika bajeti zake na kiwango cha ukusanyaji kimeongezeka kutoka Tshs 880,564,277.72 mwaka 2010/2011 hadi Tsh 1,257,284,707.24 mwaka 2015/2016 na kwa mwaka 2017/2018 Halmashauri ilikadiria kukusanya kiasi cha Tshs 1,684,460,000.00 ambapo hadi kufikia mwezi Juni 2018 kiasi kilichokusanywa ni Tshs 1,601,372,248.18 sawa na asilimia 95.07 ya lengo.
Mwenendo wa ukusanyaji umeonyeshwa kwenye jedwali hapa chini;
Jedwali la Mapato
Mwaka
|
Makisio
|
Mapato Halisi
|
Asilimia
|
2010/11
|
961,939,000.00
|
880,564,277.72
|
91.54
|
2011/12
|
1,636,176,000.00
|
1,446,469,602.20
|
88.41
|
2012/13
|
1,470,626,000.00
|
1,439,373,104.57
|
97.87
|
2013/14
|
1,503,674,300.00
|
1,139,925,454.37
|
75.81
|
2014/15
|
1,641,502,000.00
|
1,238,679,820.00
|
75.46
|
2015/16
|
1,518,307,000.00
|
1,257,284,707.24
|
82.81
|
2016/17
|
1,591,905,600.00
|
1,396,859,058.01
|
87.75
|
2017/18
|
1,684,460,000.00
|
1,601,372,248.18
|
95.07
|
Ukusanyaji wa mapato na mapokezi wa fedha za maendeleo kuanzia tarehe 01/07/2018 hadi 31/12/2018
TASAF | 253,016,592.00 |
Elimu | 447,225,000.00 |
Afya | 299,758,233.44 |
Maji | 186,190,017.00 |
JUMLA | 1,186,189,842.44 |
Jedwali la Matumizi
Mwaka
|
Makisio
|
Mapato Halisi
|
Asilimia
|
2010/11
|
961,939,000.00
|
823,947,218.97
|
85.71
|
2011/12
|
1,636,176,000.00
|
1,400,994,682.08
|
85.68
|
2012/13
|
1,470,626,000.00
|
1,397,367,424.65
|
94.64
|
2013/14
|
1,503,674,300.00
|
1,139,925,454.37
|
75.81
|
2014/15
|
1,641,502,000.00
|
1,229,934,521.00
|
94.20
|
2015/16
|
1,518,307,000.00
|
1,052,075,041.54
|
69.29
|
2016/17
|
1,591,905,600.00
|
998,356,589.60
|
94.22
|
2017/18
|
1,684,460,000.00
|
1,578,811,247.68
|
87.43
|
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa