• Malamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Biharamulo District Council Website
Biharamulo District Council Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Misingi
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

TEHAMA na Mahusiano


KITENGO CHA TEKNOLOJIA, HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO NA MAJUKUMU YAKE

Kitengo cha (TEHAMA) kimeanzishwa mwaka 2013 ambacho ni muunganiko wa Kitengo na Uhusiano. Kitengo hiki kinaongozwa na Sera ya TEHAMA (2003), na Sera ya Utangazaji Habari (2004).  Ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza kuwa 1) bila ya kuathiri sheria ya nchi, na kutafuta,kupata na kueneza au kusambaza habari na mawazo kupitia chombo cha habari chochote bila ya kujali mipaka ya taifa pia anayo haki na uhuru wa kutoingiliwa na mawasiliano (2) kila raia ana haki ya kupashwa habari wakati wote kuhusu matukio mbalimbali ya nchini na duniani kote yenye umuhimu kwa maisha na shughuli za wananchi , pia kwa masuala yenye umuhimu kwa jamii.

Majukumu ya Kitengo

Kuweka mahusiano bora baina ya Halmashauri pamoja na Umma na wadau mbalimbali pamoja na kutoa elimu kwa Umma.

 Kuandaa machapisho mbalimbali ya Halmashauri.

 kuratibu masuala ya kiitifaki ikiwemo kupokea wageni.

 Usimamizi Wa Mifumo ya Kompyuta

 Usimamizi wa tovuti na barua pepe 

 Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao.

Kuandaa mahitaji katika Ununuzi wa vifaa vya TEHAMA. 


Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano (TEHAMA)

Matangazo

  • UKUSANYAJI WA MAPATO YA HALMASHAURI YA WILAYA BIHARAMULO January 14, 2019
  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO CHA UALIMU May 07, 2018
  • TATHMINI YA MAAFA YA MVUA YA UPEPO ILIYONYESHA KATA ZA BIHARAMULO December 07, 2017
  • TAARIFA KWA UMMA. July 17, 2017
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2018 NA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018

    January 28, 2019
  • Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020

    January 22, 2019
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2018

    January 11, 2019
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2018

    January 11, 2019
  • Tazama zaidi

Video

Video Zaidi

Kuarasa za Haraka

  • Historia

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Tovuti ya Manispaa ya Bukoba
  • Tovuti ya wilaya ya Muleba
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Kuwasiliana nasi

    Mtaa wa Bomani

    Sanduku la Barua: S.L.P 70

    Telephone: 028 2223403

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa