Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Joseph Pombe Magufuli anatarajiwa kufanya ziara katika wilaya ya Biharamulo tarehe 19 Julai 2017.
Mbali na ziara hiyo Mheshimiwa, Rais kutakuwepo na mkutano wa hadhara katika eneo la stendi kuu ya mabasi Biharamulo kuanzia saa tatu kamili asubuhi (3:00).
Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano,
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa