1. Lazima uwe namba ya mlipa kodi (Tin Number) na Tax clearence
2. Kujaza fomu ya maombi na kupeleka ofisi ya biashara kwa ajili ya ukaguzi
3. Kuwasilisha fomu zilizojazwa tayari katika ofisi za biashara
4. Usajili wa biashara inayoombwa utafanywa kwenye mfumo wa LGRCIS
5. Itatengenezwa invoice kwa ajili ya kwenda kulipa benki
6. Hatua ya mwisho ni kupewa leseni ya biashara
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa