Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo , Waziri K. Kombo amesema Kuelekea kumaliza mwaka wa fedha hadi sasa Halmashauri imeingiza mapato kwa asilimia 81 ikiwa ni robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2020/21, tumepiga hatua kubwa sana kuliko mwaka uliopita tulikusanya asilimia 63.
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa