Posted on: April 29th, 2021
Mkuu wa idara ya Maendelo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera, Mwema Doto Salum amewataka wanavikundi kuwa na usimamizi mzuri wa miradi ambayo wameombea mkopo huo pia kuwa w...
Posted on: April 22nd, 2021
Mwezeshaji wa TASAF wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera Leonidas Rwezaura amewataka walengwa wa TASAF kukata bima ya afya kwa kutumia malipo wanayolipwa ili kuweza kupunguza gharama ...
Posted on: April 13th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera, Kanali Mathias Kahabi amewaagiza viongozi wa vijiji kusimamia ulinzi na usalama katika maeneo yao husika ili kuweza kuondoa muingiliano wa raia wa kigeni w...