• Malalamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Biharamulo District Council Website
Biharamulo District Council Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Misingi
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Divisheni
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Miundombinu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uasfi na Mazingira
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Furusa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba ya Vikao
    • Kamati za Kudumu
  • Miradi
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mapato na Matumizi Robo ya Tatu
    • Jarida la eGA Toleo 6 na 9
    • Bajeti ya Mwaka 2023-2024
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Mkutano wa Baraza la Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video za Ofisi

UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO

Start Date: 2020-06-10
End Date: 2022-06-30

KUANZA KWA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO MKOANI KAGERA.

Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imepokea shilingimilioni miatano  kutoka Hazina kwa 

ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa 

Wilaya Bi.Wende I. Ng’ahara alipokuwa akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo 

robo ya tatu kwenye kikao cha baraza la Madiwani leo.

Amesema fedha hizo ni sehemu ya billion moja, mia tano million zilizotengwa kugharimia ujenzi wa

Hospitali ya Wilaya. Amesema OR-TAMISEMI ilitoa mwongozo wa ujenzi wa Hospitali hiyo ambao 

pamoja na maelekezo mengine umeelekeza uundaji wa kamati za ujenzi kwa kutumia “Force Accaunt”

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya Bi.Wende I. Ng’ahara amesema ujenzi huo utasimamiwa kwa ukaribu na

kufanyika kwa kuzingatia muda, viwango vilivyowekwa katika michoro ili kupata dhamani halisi ya fedha.

Amesema majengo yanayotarajiwa kujengwa ni pamoja na Jengo la utawala, Jengo la wagonjwa wa nje yaani

(OPD), Stoo ya dawa, Maabara,Jengo ya vipimo vya mionzi(x-ray),Jengo la kufulia nguo(Laundry) na

jengo la wazazi. Hospitali hiyo itajengwa Kata ya Nyarubungo Kijiji cha Katoke karibu na eneo za Zahanati ya

Katoke ambalo lilitolewa na Jimbo la Rulenge- Ngara ambalo lilikuwa eneo la Kanisa Katoloki tangu miaka ya

 1897 ambapo awali Askofu wa Jimbo la Rulenge Ngara Mhashamu Severine NIWEMUGIZI (SEVERINUS

NIWEMUGIZI EPISCOPUS RULENGENSIS NGARENSIS)  alisema anatoa eneo hilo ili litumike kadri ya

mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo.Eneo hilo lina ukubwa wa ekari thelathini na moja(31)

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO May 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHAJI VIFAA BAYOMETRIKI July 18, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • Tangazo la utoaji wa Mikopo ya Halmasahauri October 08, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Ramadhani Kailima amewataka Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Tanzania bara kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

    June 16, 2024
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI SEHEMU YA PILI YA MPANGO HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO

    January 03, 2024
  • Waajiriwa wapya Division ya Afya na Elimu Juni, 2023

    June 07, 2023
  • MKUU WA MKOA WA KAGERA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI BIHARAMULO

    November 30, 2022
  • Tazama zaidi

Video

MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2022 WILAYANI BIHARAMULO
Video Zaidi

Kuarasa za Haraka

  • Historia

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Tovuti ya Manispaa ya Bukoba
  • Tovuti ya wilaya ya Muleba
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Kuwasiliana nasi

    Mtaa wa Bomani

    Sanduku la Barua: S.L.P 70

    Telephone: 028 2223403

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa