• Malamiko |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Wafanyakazi |
Biharamulo District Council Website
Biharamulo District Council Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Misingi
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

UUZAJI WA VIWANJA KATIKA MAENEO YA NYAKANAZI

13 November 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo anawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania kuwa

Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo inauza viwanja katika maeneo ya Nyakanazi kama ifuatavyo:

  1. Kwamba viwanja vya makazi, viwanda vidogo na maeneo ya kujenga taasisi za Umma kama Ofisi, Shule za awali na
    maeneo ya kuabudia vimepimwa. viwanja husika viko barabara ya kuelekea Kigoma kilomita 2.5 kutoka njia
    panda ya Kahama/Kigoma/Lusahunga.
  2. Masharti

         (a)  Mwombaji atalazimika kujaza fomu ya maombi ambayoinapatikana Idara ya Fedha-Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
                kwa kiasi cha Tsh. 20,000/= kwa kila kiwanja. Fedha hiyo haitarejeshwa.

         (b)  Mwombaji anaruhusiwa kukagua ramani na kwenda kuonyeshwa viwanja site na kuchagua kiwanja anachotaka.

         (c)  Mwombaji anatakiwa kulipa gharama za ununuzi baada ya kupewa control number ya kulipia kutoka Idara
               ya Fedha kadri atakavyopewa ancra ya malipo kulingana na ukubwa na matumizi ya kiwanja alichochagua.

        (d)  Malipo yote yafanyike na kukamilika ndani ya kipindi kisichozidi miezi mitatu.

        (e)  Kwamba malipo atakayolipia yanajumuisha na gharama za umilikishaji.

        (f)   Bei ya kiwanja itategemea ukubwa wa kiwanja na matumizi husika katika mchanganuo ufuatao:-

  • Viwanja vya makazi bei ni Tsh. 3,000/= kwa mita ya mraba
  • Viwanja vya viwanda vidogo bei ni Tsh. 3,500/= kwa mita ya mraba
  • Viwanja vya Umma ( matumizi ya Umma) bei ni Tsh. 2,000/= kwa mita ya mraba

                  Nyote mnakaribishwa

    Tangazo hili limetolewa na:
                                              Waziri K. Kombo
                                      Mkurugenzi Mtendaji (W) Biharamulo


            Bofya hapa kupakua Tangazo uuzaji wa viwanja.pdf

Matangazo

  • UUZAJI WA VIWANJA KATIKA MAENEO YA NYAKANAZI November 13, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2019
  • UKUSANYAJI WA MAPATO YA HALMASHAURI YA WILAYA BIHARAMULO January 14, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI WAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA July 10, 2019
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • MKUU WA WILAYA YA BIHARAMULO AWATAKA VIONGOZI KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA

    April 14, 2021
  • MKUU WA MKOA WA KAGERA AKAGUA MIRADI MITATU YA MAENDELEO BIHARAMULO

    March 10, 2021
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    January 30, 2021
  • Waziri wa Tawala za Mikoa na Serilikali za Mitaa TAMISEMI

    January 07, 2021
  • Tazama zaidi

Video

UZINDUZI WA HIFADHI YA TAIFA BURIGI
Video Zaidi

Kuarasa za Haraka

  • Historia

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Tovuti ya Manispaa ya Bukoba
  • Tovuti ya wilaya ya Muleba
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Kuwasiliana nasi

    Mtaa wa Bomani

    Sanduku la Barua: S.L.P 70

    Telephone: 028 2223403

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa