UCHAMBUZI WA INSHA NGAZI YA ELIMU MSINGI.
Mada ya mashindano "Mbinu zilizotumika katika harakati za kupatikana kwa Uhuru wa Tanzania Bara"
Idadi ya Kata zilizowasilisha ni 15. Ambazo ni Katahoka, Kabindi, Nemba, Nyabusozi, Bisibo, Runazi, Nyakahura, Nyamigogo, Nyarubungo, Biharamulo Mjini, Ruziba, Nyantakara, Nyamahanga,Lusahunga na Kalenge. Zisizowasilisha ni Kata 2. Ambazo ni Nyanza na Kaniha. Kila Kata imewasilisha Insha ya mshindi mmoja, ambapo Insha zote zimesomwa na kujadiliwa na kamati. Baadae ilionekana mshindi mmoja kutoka Kata ya Biharamulo mjini ,shule ya msingi Umoja B. ambaye ni msichana jina lake ni BRITNEY IMAN MZUNGU darasa la sita. Bofya hapa kupakua Insha yake
UCHAMBUZI WA INSHA NGAZI YA SEKONDARI KIDATO CHA KWANZA HADI CHA TATU.
Mada ya mashindano "Maeandeleo ya Tanzania baada ya Uhuru"
Idadi ya Kata zilizowasilisha ni 11.
Ambazo ni Katahoka,Ruziba, Nemba, Kabindi, Lusahunga,Biharamulo Mjini, Nyamahanga, Nyabusozi, Runazi,Nyarubungo,Na Nyakahura. Ambazo Hazikuwasilisha Ni Kata 6. Ambazo Ni, Bisibo, Nyamigogo,Kaniha,Nyanza ,Kalenge Na Nyantakara. Kila kata imewasilisha Insha ya mshindi mmoja, ambapo Insha zote zimesomwa na kujadiliwa na kamati.
Mshindi amepatatikana kutoka Kata ya Nyarubungo Shule ya Sekondari Biharamulo, jina lake ni NESTORY HANDSON CHILEMEJI mvulana kidato cha tatu. Bofya hapa kupakua Insha yake
UCHAMBUZI WA INSHA NGAZI YA KIDATO CHA TANO NA SITA.
Mada ya mashindano "Nafasi ya vijana katika kulinda na kudumisha Uhuru wa Taifa"
Idadi ya Kata zenye kidato cha tano na sita ni 5, zilizowasilisha Insha ni Kata nne, ambazo ni Nyarubungo ,Nyakahura,Biharamulo Mjini na Nyantakara. Isiyowasilisha ni Kata ya Kaniha.
Insha zote zimesomwa na kujadiliwa na mshindi ametoka Kata ya Biharamulo mjini, jina lake FLORENT ADAM FLORENT mvulana,kutoka shule ya Sekondari Kagango, kidato cha sita. Bofya hapa kupakua Insha yake
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa