Kwa mwaka wa fedha wa 2022/23 Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ililenga kukusanya na kutumia jumla ya Tsh. 13,536,392,000 kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo na Programu mbalimbali kwa mchanganuo ufuatao.
i. Fedha za ndani Tsh. 7,593,958,000 ,
ii. Fedha za (Nje) wafadhili ni Tsh 5,189,155,000 na
iii. Fedha ya Mapato ya ndani Tsh 753,280,000.
Hadi kufikia mwezi Septemba, 2022 Halmashauri imepokea kiasi cha Tsh. 4, 877, 973,151.00 kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi na Program mbalimbali za Maendeleo ikiwa ni sawa na asilimia 36.04 ya Bajeti iliyoidhinishwa. Aidha hadi kufikia mwezi Septemba 2022 kiasi cha Tshs 2,333,915,376.15 kimetumika katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na Programu mbalimbali ikiwa ni sawa na asilimia 47.85 ya fedha zilizopokelewa.
Aidha kiasi cha Tsh 2,266,129,754.60/= kimepokelewa nje ya Bajeti kwa ajili ya utekelezaji wa miradi/shughuli zifutazo;
i. Ujenzi wa vyumba 91 vya madarasa shule za sekondari,
ii. Usimamizi wa shughuli za chanjo ya Polio,
iii. Ujenzi wa Shule mpya ya Msingi Nyakanazi
iv. Ujenzi wa bweni shule ya Sekondari na
v. Upandaji wa Miti
Mchanganuo wa fedha zilizopokelewa na matumizi yake ni kama inavyooneshwa kwenye Jedwali hapo chini;
Na
|
Mfuko /jina la Mradi
|
Fedha iliyoidhinishwa 2022/2023
|
Fedha iliyopokelewa hadi Septemba, 2022
|
Fedha iliyotumika
|
Asilimia ya fedha iliyotolewa
|
Asilimia ya fedha iliyotumika
|
1
|
Elimu Bure Msingi
|
|||||
a) Capitation
|
725,220,000
|
166,972,776.68
|
166,972,776.68
|
23
|
100
|
|
b) Chakula
|
193,401,000
|
28,961,503.37
|
28,961,503.37
|
15
|
100
|
|
c) Posho ya Madaraka Walimu Wakuu na waratibu
|
288,600,000
|
71,950,000.00
|
71,950,000.00
|
24.9
|
100
|
|
d) Gharama za Mitihani (Darasa la IIV na VI)
|
420,318,000
|
420,318,000
|
198,313,000
|
100
|
47.2
|
|
|
Jumla - Ndogo 1,627,539,000
|
1,627,539,000
|
688,202,280.05
|
466,197,280.05
|
42.3
|
100
|
2
|
Elimu Bure Sekondari
|
|||||
a) Capitation
|
199,412,000
|
47,477,966.48
|
47,477,966.48
|
23.81
|
100
|
|
b) Fidia ya Ada Kutwa
|
262,700,000
|
61,691,165.47
|
61,691,165.47
|
23.48
|
100
|
|
c) Chakula cha wanafunzi
|
1,521,720,000
|
379,399,473.15
|
379,399,473.15
|
24.93
|
100
|
|
Posho ya Madaraka Wakuu wa shule
|
60,000,000
|
15,000,000.00
|
15,000,000.00
|
25.00
|
100
|
|
e) Gharama za Mitihani (Kidato cha II , IV na VI)
|
386,611,000
|
302,642,000.00
|
302,642,000.00
|
78.28
|
100
|
|
|
Jumla - Ndogo
|
2,430,443,000
|
806,210,605.10
|
806,210,605.10
|
33.17
|
100
|
3
|
Ujenzi wa matundu ya vyoo – Msingi
|
187,000,000
|
|
|
|
|
4
|
Ukamilishaji wa Madarasa shule za Msingi
|
156,250,000
|
|
|
|
|
5
|
Ujenzi wa Madarasa shule Kongwe za Msingi
|
180,000,000
|
|
|
|
|
6
|
Ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi
|
800,000,000
|
|
|
|
|
7
|
Ujenzi wa uzio bweni la Watoto wenye mahitaji maalum
|
30,000,000
|
|
|
|
|
8
|
Programmu ya USAFI – Msingi - SRWASS
|
310,000,000
|
|
|
|
|
9
|
Ujenzi wa Nyumba Shule za Msingi
|
200,000,000
|
|
|
|
|
10
|
Ukamilishaji wa Maabara za Sekondari
|
120,000,000
|
|
|
|
|
11
|
Ukamilishaji wa Mabweni - Sekondari
|
20,000,000
|
|
|
|
|
12
|
Ukamilishaji wa Zahanati (S/Kuu)
|
50,000,000
|
|
|
|
|
13
|
Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya
|
750,000,000
|
|
|
|
|
14
|
Ununuzi wa Vifaa Tiba Hospitali ya Wilaya na Vituo vya Afya
|
250,000,000
|
|
|
|
|
15
|
Global Fund
|
8,273,000
|
|
|
|
|
16
|
Mfuko wa Pamoja (HBF)
|
672,485,000
|
|
|
|
|
17
|
Usajiri wa Watoto – UNICEF
|
87,477,000
|
|
|
|
|
18
|
E-P4R
|
1,290,000,000
|
|
|
|
|
19
|
Vaccination – GAVI Chanjo
|
113,031,000
|
|
|
|
|
20
|
SEQUIP – Sekondari
|
573,000,000
|
|
|
|
|
21
|
Programm ya USAFI – AFYA – SRWASS
|
334,000,000
|
|
|
|
|
22
|
Mradi Mikakati SGRP- Parking
|
700,000,000
|
|
|
|
|
23
|
TASAF
|
1,800,889,000
|
925,918,397.00
|
919,227,897
|
51.41
|
99.28
|
24
|
Mfuko wa Jimbo – CDCF
|
92,725,000
|
|
|
|
|
25
|
MAPATO YA NDANI
|
753,280,000
|
199,412,114.00
|
150,179,594
|
26.47
|
75.31
|
26
|
Ujenzi wa vyumba vya madarasa
|
|
1,820,000,000.00
|
|
|
|
27
|
Ujenzi wa Shule Mpya – EP4R
|
|
250,000,000.00
|
|
|
|
28
|
Shughuli za Polio
|
|
64,385,250.00
|
|
|
|
29
|
Ujenzi wa Bweni
|
|
100,000,000.00
|
|
|
|
30
|
Mfuko wa Misitu – Upandaji Miti
|
|
31,744,504.60
|
|
|
|
|
JUMLA
|
13,536,392,000
|
4,877,973,151
|
2,333,915,376.15
|
36.04
|
47.85
|
Mtaa wa Bomani
Sanduku la Barua: S.L.P 70
Telephone: 028 2223403
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@biharamulodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya Biharamulo. Haki zote zimehifadhiwa